Wengi walio pamoja na al-Ikhwaan al-Muslimuun ni kwa ajili ya maslahi

Baada ya hapo wameuliza maswali muhimu. Baadhi ya maswali hayo yanahusu jumuiya na mengine yanahusu al-Ikhwaan al-Muslimuun. Ni katika fadhila za Allaah ujiwekaji mbali kutokamana na al-Ikhwaan al-Muslimuun umekuwa ni mkubwa iwezekanavyo. Naweza kuapa kwa Allaah ya kwamba wengi ambao wako na al-Ikhwaan al-Muslimuun wako nao kwa ajili ya tu ya maslahi ya kidunia. Wengi walionao wako nao kwa ajili ya maslahi ya kidunia.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=27
  • Imechapishwa: 03/05/2020