Wendawazimu waislamu wataingia Peponi?

Swali: Wendawazimu wa waislamu wanahukumiwa kuwa ni watu wa Peponi?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Hawa jambo lao niko kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Hatujui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (10) http://alfawzan.af.org.sa/node/2053
  • Imechapishwa: 15/01/2017