Swali: Wazushi ni bora kuliko makafiri?

Jibu: Bid´ah inatofautiana. Ikifikia kiwango cha ukafiri, nao ni makafiri kama wao. Ikiwa ni chini ya ukafiri, ni wapotevu. Wanatofautiana. Muislamu aliye na maasi au mukhalafa ambao haumtoi katika dini ni bora kuliko makafiri.

Muislamu wa kawaida ni bora kuliko wanachuoni wa makafiri na wanachuoni wa waabudu makaburi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (58) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16539
  • Imechapishwa: 23/09/2017