Watu wawili kwa ajili ya swalah ya mkusanyiko na watatu kwa ajili ya swalah ya ijumaa


Swali: Swalah ya mkusanyiko inazingatiwa kwa watu wawili tu?

Jibu: Ndio. Swalah ya mkusanyiko inazingatiwa kwa watu wawili na swalah ya ijumaa inazingatiwa kwa watu watatu; wawili wenye kusikiliza na mmoja mwenye kukhutubia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/de
  • Imechapishwa: 30/09/2017