Watu watafufuliwa na viwiliwili vyao

Swali: Miili na viwiliwili atavyovifufua Allaah siku ya Qiyaamah ndio vilevile vilivyokuwa duniani?

Jibu: Ndio hivyo hivyo. Lakini vitageuzwa na vitakuwa ni kama umbile la Aadam dhiraa sitini kwenda juu angani.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 127
  • Imechapishwa: 18/01/2017