Swali: Je, inajuzu kuwafuturisha wafungaji ndani ya misikiti?

Jibu: Ikiwa kitendo hichi kinaichafua misikiti na kunabaki mavyakula, haijuzu. Ama ikiwa kufanya hivi haipelekei kuidhuru misikiti wala kubaki mavyakula na [baada ya hapo] ikasafishwa, ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020