Swali: Je, inafaa kwa wasichana wadogo chini ya miaka saba kugusa msahafu pasi na kuwa na wudhuu´ kwa ajili ya kuwafunza Qur-aan?

Jibu: Watoto wanatakiwa wapewe bodi za kuandikia. Vilevile wanatakiwa kufunzwa wudhuu´. Haifai kugusa msahafu isipokuwa kwa aliyetawadha.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (12) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=audioinfo&audioid=191546
  • Imechapishwa: 18/08/2019