Watoto waliozaliwa Ulaya ni lazima kufanya Hijrah?

Swali: Ambaye anaishi Uingereza na amezaliwa katika nchi hiyo na ni muislamu ni wajibu kwake kufanya Hijrah? Afanye vipi?

Jibu: Ikiwa hawezi kudhihirisha dini yake kwa njia ya kwamba wanamzuia kudhihirisha dini yake, ni wajibu kwake kufanya Hijrah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020