Swali: Baada ya kuswali swalah ya faradhi nilihisi kuwa sio ni mwenye unyenyekvu…
Jibu: Baada ya kumaliza kufanya ´ibaadah achana na wasiwasi. Usiwe na wasiwasi baada ya kumaliza kuswali au kufanya ´ibaadah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (12) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-19-10-1434_0.mp3
- Imechapishwa: 30/09/2017