Wasisome al-Muhallaa ya Ibn Hazm

Swali: Unasemaje juu ya kitabu “al-Muhallaa” ya Ibn Hazm?

Jibu: Ni chenye faida kwa wanachuoni. Wanafunzi hawatakiwi kujishughulisha nacho ili wasije kutumbukia katika yale yaliyowafanya wengi katika wanachuoni wa waislamu kupinda.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Raabigh (6)