Swali: Je, atangulizwe imamu wa msikiti au atangulizwe yule aliyeacha anausiwa kuhusu swalah ya jeneza?

Jibu: Anatangulizwa yule aliyeacha anausiwa na maiti kwamba amswalie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 11/08/2019