Wasichana wa kaka wanakata udugu kwa sababu ya kufunua nyuso zao

Swali: Mimi huwanasihi wasichana wa kaka yangu kuhusiana Hijaab kwa sababu hawafuniki nyuso zao. Matokeo yake wanakata udugu na mimi. Unaninasihi nini?

Jibu: Wanasihi. Wabainishie hukumu ya Kishari´ah. Wakikukata madhambi ni juu yao. Wewe umetekeleza wajibu wako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 11/07/2018