1611 – Nimemsikia baba yangu akisema kuhusu wasia wa mtoto:

“Mtoto akiwa na miaka 10-12 na akaacha wasia wa sawa, basi unasihi wasia wake.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa’il-ul-Imaam Ahmad (3/1170)
  • Imechapishwa: 10/03/2022