Warudi kuswali swalah waliyoswali kinyume na Qiblah?

Swali 333: Mtu akiswali kinyume na Qiblah kimakosa kisha akabainikiwa kuwa ni kosa kabla ya kumaliza muda wa swalah. Je, aswali tena?

Jibu: Hapana. Asiirudi swalah. Dalili ya hilo ni kwamba baadhi ya Maswahabah na kila mmoja akaelekea kule alipofikiria. Kulipopambazuka wakamtajia jambo hilo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakuwaamrisha kurudi kuswali tena.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 126-127
  • Imechapishwa: 07/09/2019