Wapeni watoto majina ya as-Salaf as-Swaalih


Swali: Nimeruzukiwa mtoto, unaninasihi nimwite vipi?

Jibu: Mpe jina mojawapo la wanawake wa Salaf-us-Swaalih (wema waliotangulia); mwite Khadiyjah, Ruqayyah, Faatwimah, ´Aaishah, Zaynab. Majina ni mengi.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa/index.cfm?do=cms.scholarsubject&schid=30981&subjid=31339&audiotype=lectures&browseby=speaker
  • Imechapishwa: 29/12/2017