Waombaji misikitini


Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa wahitaji wanaokuwa misikitini?

Jibu: Ikiwa hujui kuwa ni waongo wape kujengea juu ya uinje wao. Mwombaji anayo haki. Lakini ukijua kuwa ni waongo usiwape.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 21/01/2021