Wanawake wanaomilikiwa na mikono ya kiume wako leo?


Swali: Wanawake waliyomilikiwa na mikono ya kiume wanapatikana hii leo au ni jambo maalum linalopatikana kupitia Jihaad inayokubalika katika Shari´ah pale inapotokea?

Jibu: Ni jambo limeambatana na Jihaad. Kukipatikana Jihaad kunapatikana pia wanawake wanaomilikiwa na mikono ya kiume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
  • Imechapishwa: 16/12/2017