Swali: Wanawake wanaotembelea kaburi la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi w asallam) kwa kuelewa kimakosa wanasalimika kutoguswa na laana?
Jibu: Wanapewa udhuru kwa ujinga. Lakini baada ya kujua haijuzu kwao kutembelea. Lakini ikiwa ni kwa ujinga basi itambulike kuwa mjinga anapewa udhuru.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (60) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16548
- Imechapishwa: 16/09/2017