Wanawake wanafanya I´tikaaf wapi?

Swali: Mwanamke afanye I´tikaaf wapi anapotaka kufanya I´tikaaf?

Jibu: Mwanamke anapotaka kukaa I´tikaaf basi afanye hivo msikitini maadamu hakuna makatazo ya Kishari´ah. Iwapo kutakuwa kuna makatazo ya Kishari´ah basi asifanye I´tikaaf.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (20/163)
  • Imechapishwa: 15/06/2017