Wanarudi kwenye upanga, mikuki na farasi

Swali: Nimesikia kuwa zama za mwisho watu watapigana vita kwa upanga na farasi. Hili ni sahihi?

Jibu: Ndio. Zama za mwisho vifaa vya leo vitasita. Watu watarudi kwenye kupanda tena farasi na kupigana vita na mikuki na upanga.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (05) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340106.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015