Swali: Inajuzu kwa wanandoa kushikamana mikono mbele za watu?
Jibu: Hakuna neno. Hili linategemea na desturi za watu.
- Mhusika: Shaykh Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://mdkhly.com/1405
- Imechapishwa: 02/12/2017