Wanaitukana Saudi Arabia lakini hawaitukani miji yao


Swali: Kwa nini tunaona walinganizi waovu wanaihujumu Saudi Arabia inayohukumu kwa Shari´ah na wakati huo huo wanazitetea nchi zao zisizohukumu kwa Shari´ah?

Jibu: Hili halishangazi kuona linatoka kwao. Wanaishambulia Saudi Arabia lakini hawafanyi hivo kwa nchi zao. Ni Ahl-ul-Ahwaa´. Namna hiyo ndio hufanya Ahl-ul-Ahwaa´. Ahl-ul-Ahwaa´ hawaachi matamanio yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu'
  • Imechapishwa: 05/09/2020