Wanafunzi wanawaalika waalimu katika chakula


Swali: Kuna baadhi ya wanafunzi wanaalika katika chakula wakati wa kumalizika mwaka wa masomo juu ya wanafunzi na waalimu chuoni. Ni ipi hukumu ya mwalimu kushirikiana nao katika mnasaba kama huu?

Jibu: Midhali ni mwaliko wa watu wote, hakuna neno. Ikiwa ni mwaliko wa watu wote na si maalum kwa waalimu wanaume au wanawake, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-01-07-1439.lite__0.mp3
  • Imechapishwa: 12/10/2018