Wanaeneza utata juu ya “as-Swahiyh” ya al-Bukhaariy


Swali: Unasemaje juu ya mtu mwenye kueneza utata juu ya “as-Swahiyh” ya al-Bukhaariy?

Jibu: Kitabu sahihi zaidi baada ya Qur-aan ni ya “as-Swahiyh” ya al-Bukhaariy. Hakuna mwenye kukienezea utata isipokuwa ima ni mjinga au mtu aliyepinda.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa' http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 27/02/2018