Swali: Kuna mwanaume alichumbia mwanamke na alikuwa hajazini nae na baadae kukatokea Zinaa katika kipindi hichi (cha uchumba). Je, asimamishiwe adhabu ya bikira au adhahabu ya ambaye kishaingia katika ndoa?

Jibu: Lililo la dhahiri kwangu naona kuwa atasimamishiwa adhabu ya bikira. Kwa kuwa alikuwa hajamuoa. Katika hali hii, wote wawili watasimamishiwa adhabu ya bikira ikiwa ndo mara ya kwanza wanaingia katika ndoa.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.net/fatwa.php
  • Imechapishwa: 17/02/2018