Walinganizi kama hawa hawastahiki kuwepo katika uwanja wa Da´wah

Swali: Tunaomba kutoka kwako uwape nasaha baadhi ya waalimu, maimamu wa misikiti na makhatwiyb katika mfano wa fitina kama hii na wawaelekeze watu juu ya kulazimiana na mkusanyiko wa waislamu na kiongozi wao?

Jibu: Ikiwa wanawakimbiza watu kutokamana na mkusanyiko wa waislamu haifai wakawa waalimu, makhatwiyb na wala wasisimamie jambo lolote miongoni mwa mambo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
  • Imechapishwa: 28/01/2018