Swali: Wako watu ambao wanawapenda ndugu zao makafiri kutokana na ule udugu ulio kati yao na anawapendea waongoke. Je, katika kitendo chake hicho kuna dhambi?

Jibu: Asiwapende:

لَّا تَجِدُ قَوْمًا يُؤْمِنُونَ بِاللَّـهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ يُوَادُّونَ مَنْ حَادَّ اللَّـهَ وَرَسُولَهُ وَلَوْ كَانُوا آبَاءَهُمْ أَوْ أَبْنَاءَهُمْ

”Hutowapata watu wanaomuamini Allaah na siku ya Mwisho  kwamba wanawapenda wale wanaopinzana na Allaah na Mtume Wake, ijapo wakiwa ni baba zao… “(al-Mujaadilah 58:22)

Ama kuhusu kuwatendea wema na kuungana nao ni jambo linalofaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (03) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/03.mp3
  • Imechapishwa: 24/11/2019