Swali: Kuna wakimbizi huku kwetu (Uswidi) wanaomba visa kutoka serikali na wanabaki huku kwa miaka mingi na wanafanya kazi na kufupisha swalah. Pindi tunapowauliza wanasema kuwa ni wasafiri. Je, hii inahesabika kuwa ni safiri kwa kuzingatia ya kwamba wanajaribu kupata visa kutoka katika nchi hii?
Jibu: Kwa upande wa kujumuisha na kufupisha haijuzu kwako kufanya hivo. Haijuzu kwa mtu kujumuisha na kufupisha akinuia kukaa katika mji zaidi ya siku nne. Akinuia kukaa katika mji zaidi ya siku nne, katika hali hii haijuzu kwake kujumuisha na kufupisha.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Usuwl-is-Sunnah (01)
- Imechapishwa: 06/09/2020
Swali: Kuna wakimbizi huku kwetu (Uswidi) wanaomba visa kutoka serikali na wanabaki huku kwa miaka mingi na wanafanya kazi na kufupisha swalah. Pindi tunapowauliza wanasema kuwa ni wasafiri. Je, hii inahesabika kuwa ni safiri kwa kuzingatia ya kwamba wanajaribu kupata visa kutoka katika nchi hii?
Jibu: Kwa upande wa kujumuisha na kufupisha haijuzu kwako kufanya hivo. Haijuzu kwa mtu kujumuisha na kufupisha akinuia kukaa katika mji zaidi ya siku nne. Akinuia kukaa katika mji zaidi ya siku nne, katika hali hii haijuzu kwake kujumuisha na kufupisha.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Usuwl-is-Sunnah (01)
Imechapishwa: 06/09/2020
https://firqatunnajia.com/wakimbizi-wanafupisha-swalah-miji-ya-uzunguni/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)