1Lakini mfalme Sulemani alipenda wanamuke wengi wa kigeni, isipokuwa binti ya Farao wanamuke Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni, na Wahiti. 2Walitoka katika mataifa yenye Yehova alikuwa ameambia Waisraeli juu yao: “Hamupaswe kuingia kati yao, na hawapaswi kuingia kati yenu; kwa maana kwa hakika watageuza moyo wenu ufuate miungu yao.” Lakini Sulemani alishikamana nao na aliwapenda. 3Na alikuwa na bibi mia saba (700) wenye walikuwa wanamuke wa kifalme na masuria mia tatu (300)…
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Wafalme 11:1-3
1Lakini mfalme Sulemani alipenda wanamuke wengi wa kigeni, isipokuwa binti ya Farao wanamuke Wamoabu, Waamoni, Waedomu, Wasidoni, na Wahiti. 2Walitoka katika mataifa yenye Yehova alikuwa ameambia Waisraeli juu yao: “Hamupaswe kuingia kati yao, na hawapaswi kuingia kati yenu; kwa maana kwa hakika watageuza moyo wenu ufuate miungu yao.” Lakini Sulemani alishikamana nao na aliwapenda. 3Na alikuwa na bibi mia saba (700) wenye walikuwa wanamuke wa kifalme na masuria mia tatu (300)…
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Wafalme 11:1-3
https://firqatunnajia.com/wake-mia-saba-wa-sulemani-katika-biblia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)