Wakazi wa Makkah wanatakiwa pia kufanya Twawaaf-ul-Wadaa´

Swali: Kuna mtu anafanyakazi na anaishi Makkah. Baada ya kumaliza hajj yake akataka kurudi Twaaif kwa ajili ya kuwatembelea wazazi wake. Je, anatakiwa kwanza kufanya Twawaaf-ul-Wadaa´?

Jibu: Ndio anatakiwa kufanya Twawaaf-ul-Wadaa´ bila shaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020