Swali: Mtu ambaye hakunyoa kichwa chake moja kwa moja baada ya kumliza ´Umrah. Kuna kinachomlazimu?

Jibu: Hatoki katika ´Ihraam isipokuwa baada ya kunyoa kichwa chake. Si lazima akinyoa moja kwa moja tu baada ya kumaliza ´Umrah. Ni sawa vilevile akanyoa baada ya masaa kadhaa au siku kadhaa baadaye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (24) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-20-02-1435.mp3
  • Imechapishwa: 10/07/2020