Swali: Kuna ambao wanaanza kutoa Zakaat-ul-Fitwr siku saba au tano kabla ya kuswaliswa ´iyd?

Jibu: Hapana, hapana. Haizingatiwi isipokuwa siku moja au siku mbili kabla ya ´iyd. Wakati ulio bora wa kuitoa ni kuanzia usiku wa kuamkia ´iyd mpaka pale imamu anapoenda kuswali swalah ya ´iyd.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15621
  • Imechapishwa: 20/06/2017