Wajibu wetu juu ya Yerusalemu


Swali: Muislamu anatakiwa kuchukua msimamo gani juu ya msikiti wa al-Aqswaa na ni vipi tutawashinda maadui zetu?

Jibu: Ni wajibu kwenu kumuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) na kuwasaidia ndugu zetu kwa yale mnayoweza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
  • Imechapishwa: 28/12/2017