Wajibu wako unapojua mahali fulani kuna mchawi

Swali: Ni lipi la wajibu kwa yule mwenye kujua kuwa kuna mchawi?

Jibu: Wajibu wake ni kuwafikishia baraza. Mwenye kujua kuwa ndani ya nchi – ni mamoja Saudi Arabia au nchi nyingine – kuna mchawi, basi awafikishie vituo vya kamati. Wana taaluma juu ya mambo haya. Watasimamia kile kinachowajibika juu ya mchawi huyu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/07.mp3
  • Imechapishwa: 11/01/2019