Wajibu wako kwa Khawaarij


Swali:  Je, inajuzu kuwalaani watu wa Bid´ah na Khawaarij?

Jibu: Kuna faida gani? Hakuna faida yoyote. Lakini hata hivyo unatakiwa kukataza madhehebu ya Khawaarij na kubainisha ufisadi wake. Kuhusu kulaani hakufaidishi kitu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017