Swali: Unajua yanayoendelea Iraaq na Syria ya wale wanaojiita “dola ya Kiislamu”. Ni wajibu upi tulio nao juu ya hilo?
Jibu: La wajibu ni Du´aa na kumnyenyekea Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Huwezi zaidi ya hili. Lililo la wajibu kwako ni kumuomba Allaah na kumuomba Awaokoea Waislamu na Awaponde makafiri, wanafiki na maadui wa Dini. Hili ndio unaloliweza.
  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqa-06-09-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/02/2017