Wajibu wako kabla ya kujiunga na mapote


Swali: Je, inajuzu kushirikiana na mapote ya dini au ya kisiasa ambayo yanalingania katika Tawhiyd – kutokana na wanavyodai?

Jibu: Sio kila madai yanakuwa ni kweli. Hatujui. Thibitisha kwanza hili na warejelee wanachuoni wenu ili wathibitishe mambo haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 03/04/2018