Wajibu wako anapotukanywa Abu Hurayrah


Swali: Kuna mtu anayemtukana Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh). Upi wajibu wetu kwake?

Jibu: Kumkataza na kumpa nasaha. Akikataa, mtapeleka suala hili mamlakani. Kwa mfano ikiwa ni mfanya kazi afukuzwe n.k. Apewe adhabu. Asiachwe akamtukana Swahabah mtukufu Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh). Hampasi kabisa kukaa kimya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=ZwM9pk5M_8s
  • Imechapishwa: 04/07/2021