Wajibu wa muislamu wakati wa fitina na vita vya kindani

Swali: Ni upi wajibu wa muislamu katika mnasaba wa fitina na vita vya ndani katika baadhi ya miji?

Jibu: Ni wajibu kwa muislamu kumuomba Allaah usalama na ajiepushe na fitina na kujiweka nayo mbali kadri na atakavyoweza. Awaombee waislamu faraja, nusura na msaada dhidi ya maadui zao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–14330720.mp3
  • Imechapishwa: 09/06/2020