Swali: Ni wajibu kwa makhatwiyb wote siku ya Ijumaa kuwaamrisha wale wanaoingia na kukaa kuswali Rak´ah mbili [za mamkuzi ya msikiti]?

Jibu: Nido, bila ya shaka. Awazindue watu na kuwafunza ya kwamba haijuzu kukaa chini. Anayeingia na imamu anatoa Khutbah haijuzu kwake kukaa mpaka aswali Rak´ah mbili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014