Waislamu wanaofuga masharubu yao


Swali: Tumeona katika jamii nyingi wasionyoa wala kupunguza masharubu. Ni ipi hukumu ya kitendo hichi?

Jibu: Wanaenda kinyume na Sunnah. Hukumu yao ni kuwa wanaenda kinyume na Sunnah. Ikiwa ni Muislamu basi unatakiwa kumnasihi na kumbainishia Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (55) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-10-13.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014