Swali: Yale yote ambayo Allaah aliwateremshia Mitume Yake ilikuwa kupitia ukatikati?

Jibu: Ndio, kupitia ukatikati wa Jibriyl (´alayhis-Salaam) ambaye amepewa kazi ya Wahy. Isipokuwa baadhi ya mambo hakika Allaah anaweza kumpa ilhamu Mtume Wake pasi na ukatikati wa Jibriyl.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18385
  • Imechapishwa: 02/04/2021