Wafanyakazi wa mataasisi wapewe sehemu ya zakaah?

Swali: Wale wanaotumika hii leo katika jumuiya za kheri wanazingatiwa ni katika wenye kuitumikia zakaah…

Jibu: Wenye kuitumikia zakaah ni wale walioteuliwa na mtawala. Watu hawa hawakuteuliwa na mtawala. Wamejiteua wao wenyewe au hizo jumuiya. Hawaingii katika wenye kuitumikia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (17) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtf-08011435.mp3
  • Imechapishwa: 12/10/2019