Waeleze mahakama kuhusu wanaoita katika migomo na maandamano


Swali: Je, inajuzu kuwataja kwa majina na kuwatahadharisha wale wenye kulingania kwenye migomo na maandamano?

Jibu: Ikiwa una uhakika juu ya jambo lako na kwamba wanasababisha fitina basi ieleze mahakama kuhusu wao. Ieleze mahakama kuhusu wao. Haya ni mambo ya siri na hayatakiwi kuenezwa namna hii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/07/2018