Swali: Nikikutana na mwanafunzi anayejinasibisha na ISIS au al-Qaa´idah na nikamnasihi lakini isifue dafu, niwaeleze mahakama juu yake au nasaha inatosha?

Jibu: Ikiwa anaeneza fikira hizi basi waeleze juu yake. Ama ikiwa shari yake iko juu ya nafsi yake mwenyewe, umeshamnasihi na umetekeleza wajibu wako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 08/07/2018