Wadd, Suwaa´ na wengineo walikuwa wakati za Nuuh?

Swali: Waja wema ambao ni Wadd, Suwaa´ na wengineo walikuwa hai katika kipindi cha Nuuh au kabla yake?

Jibu: Waliabudiwa zama za Nuuh. Walikuwepo kabla ya zama za Nuuh (´alayhis-Salaam). Yalibaki kuwa ni masanamu na yakitajwa na watu mpaka wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Yeye ndiye ambaye aliyaondosha pembezoni mwa Ka´bah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 12
  • Imechapishwa: 02/03/2019