Wachawi katika nchi yetu


Swali: Katika nchi yangu mahakama hayawaadhibu wachawi. Ni vipi tutaweza kupata haki zetu kutoka kwa watu hawa?

Jibu: Jitengeni nao mbali. Msiwe na lolote na wao ikiwa mnajua kuwa ni wachawi. Jitengeni nao mbali. Wakateni, wakateni na tahadharisheni nao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017