Wabebaji wa bendera hii leo


Ni sawa kabisa kusema ya kwamba hii leo kuna watu ambao ndio wenye kubeba bendera ya kujeruhi na kuadilisha. Ni wenye kutambulika katika kuitilia umuhimu Qur-aan na elimu zake, Sunnah na elimu zake, kuieneza na kuitetea. Allaah amewatunuku uelewa wa dini kwa jumla na uelewa wa ulinganizi na namna ya kukabiliana na majanga kwa njia maalum. Hapana vibaya kukutajia baadhi ya wale wanaishi hii leo:

1- Shaykh Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan.

2- Shaykh ´Abdul-´Aziyz Aalush-Shaykh.

3- Shaykh Swaalih al-Luhaydaan.

4- Shaykh ´Abdullaah al-Ghudayyaan.

5- Shaykh Ahmad an-Najmiy.

6- Shaykh Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy.

7- Shaykh ´Abdul-Muhsin al-´Abbaad.

8- Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalus-Shaykh.

9- Shaykh ´Ubayd al-Jaabiriy.

10- Shaykh Swaalih as-Suhaymiy.

11- Shaykh Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy.

12- Shaykh Sulaymaan bin ´Abdillaah Abal-Khayl.

  • Mhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Ajwibah al-Athariyyah ´an-il-Mas-aail al-Manhajiyyah, uk. 61
  • Imechapishwa: 04/11/2017