Waabudu makaburi wakufurishwe baada ya kunasihiwa

Swali: Waabudu makaburi tuwakataze moja kwa moja au tutumie ile kanuni inayosema “Kuyazuia madhara ni jambo linatangulizwa mbele ya kuleta manufaa”?

Jibu: Wale wanaojifunza ni wasomi wanatakiwa kunasihiwa. Wakitubu na wakaongozwa na Allaah shukurani zote anastahiki Allaah. Wakikataa ni makafiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-is-Shubuhaat, uk. 125
  • Imechapishwa: 26/08/2019