Swali: Kuna mlinganizi anayesema kuwa waabudu makaburi ni ndugu zetu? Unasemaje juu ya hilo?

Jibu: Ikiwa anashirikiana nao katika kuabudu makaburi ni kweli ni ndugu zake. Na ikiwa anamwabudu Allaah, Mmoja asiyekuwa na washirika, hana lolote la kufanya pamoja na wao. Katika hali hiyo sio ndugu zake. Ni ndugu wa Mashaytwaan na si ndugu zake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–02041434.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2015